Kriptoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kriptoni (kut. kigiriki κρυπτός kriptos kwa sababu haikuwa rahisi kuitambua) ni elementi yenye namba atomia 36 kwenye mfumo radidia na uzani wa atomi 83.79. Alama yake ni Kr.
Ni elementi haba sana yapatikana kwa kiasi kidogo katika angahewa kama gesi adimu na bwete isiyo na rangi wala ladha.
Matumizi yake ni hasa katika aina mbalimbali za taa kwa sababu inasaidia balbu kuwa na mwanga mweupe zaidi.
- Kriptoni husababisha taa memetevu kutoa mwanga mweupe
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kriptoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads