Kuala Lumpur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kuala Lumpur (Jawi:كوالا لمڤور) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Malaysia. Eneo lake ni km² 243.65 na idadi ya wakazi 1,453,978 (mwaka 2005).


Remove ads
Jiografia
Kuala Lumpur iko km 35 kutoka pwani la magharibi la rasi ya Malay mahali panapoungana mito ya Gombak na Klang kwenye 3° 09' 35" N 101° 42' 12" O3° 09' 35" N 101° 42' 12" O.
Viungo vya Nje
- DBKL Ilihifadhiwa 20 Machi 2011 kwenye Wayback Machine.
- Kuala Lumpur maps
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kuala Lumpur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads