Kupe (arakinida)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kupe (arakinida)
Remove ads

Kupe ni arithropodi wa familia Ixodidae katika ngeli Arachnida (arakinida). Hujishikamanisha na mwili wa mnyama na kufyonza damu kama chakula. Spishi nyingi ni wasumbufu wa mifugo na huweza kusambaza magonjwa. Kupe kwa kawaida hujificha kwenye nyasi au udongo na kusubiri wanyama kama vile ng'ombe au mbuzi ili kuwang'ata na kufyonza damu yao. Kupe ni hatari sana kwa sababu wanaweza kubeba magonjwa kama vile Lyme.

Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kupe (arakinida) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads