Kwikwi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwikwi (pia: chechevu) ni mkazo wa ghafla na usio wa hiari wa musuli wa kiwambo; mkazo huo unaoweza ukajirudiarudia mara kadhaa kwa dakika unafanya pumzi kutokea kinywani na sauti ya kugugumia kutokana na hewa kuingia kwenye umio[1].
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads