Wilaya ya Kyela
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Kyela ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Mbeya.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 174,470 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 266,426[2].
Makao makuu yapo Kyela Mjini.
Wilaya hiyo ni maarufu kwa kilimo cha kokoa ambayo ndiyo zao la biashara, lakini mpunga na mahindi pia vinalimwa.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads