Laus Omar Mhina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Laus Omar Mhina (amezaliwa 1 Oktoba, 1952) ni mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads