Leonard Bacon (mshairi)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Leonard Bacon (26 Mei 1887 – 1 Januari 1954) alikuwa mshairi na mtafsiri kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1941 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.[1]
Kazi Zake
- The Heroic Ballads of Servia (ilitafsiriwa kutoka lugha ya kihispania) 1913
- Chanson de Roland (ilitafsiriwa kutoka lugha ya kifaransa)1914
- The Cid (ilitafisirwa kutoka lugha ya kihispania) 1919
- Sophia Trenton 1920
- Ulug beg 1923
- Ph.D.s 1925
- Animula Vagula 1926
- Guinea-fowl and other Poultry 1927
- Lost Buffalo, and other Poem
- Day of Fire 1943
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads