Leonard Roberts
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Leonard Roberts (amezaliwa 17 Novemba 1972) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani.
Wasifu
Leonard Roberts alizaliwa mnamo 17 Novemba 1972, mjini St. Louis, Missouri. Mwaka wa 1995, Roberts amehitimu katika Chuo Kikuu cha Sanaa na Maigizo cha DePaul akiwa na Shahada ya Sanaa katika uigizaji.[1]
Anafahamika zaidi kwa nyusika zake kama vile Sean Taylor kwenye Drumline na Forrest Gates kwenye msimu wa nne wa Buffy the Vampire Slayer. Naye pia anafahamika zaidi kuwa miongoni mwa mashabiki wakubwa wa Smallville kwa kucheza uhusika wa Nam-Ek, na D.L. Hawkins kwenye tamthilia ya ubunifu wa kisayansi wa NBC, Heroes.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads