Leverkusen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Leverkusen
Remove ads

Leverkusen ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 160,593.

Thumb
Mji wa Leverkusen
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Remove ads

Usafiri

Kuna huduma za treni za mkoani (S-Bahn) na treni za eneo (RB na RE), pia Treni za mji Cologne ina kituo mpaka wa Cologne na Leverkusen, kinaitwa "Leverkusen-Schlebusch.

Tazama pia

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Leverkusen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads