Lima

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lima
Remove ads

Lima ni mji mkuu na kitovu cha uchumi wa Peru.

Ukweli wa haraka Habari za kimsingi, Mahali ...

Mji uliundwa tar. 18 Januari 1535 na Francisco Pizarro kwa jina la "Ciudad de reyes" (mji wa wafalme). Leo hii una wakazi zaidi ya milioni sita.

Remove ads
Thumb
Lima jinsi inavyoonekana kutoka angani
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads