18 Januari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 18 Januari ni siku ya kumi na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 347 (348 katika miaka mirefu).
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1535 - Francisco Pizarro anaunda mji wa Lima (Peru)
- 1701 - Mtemi Friedrich wa Brandenburg (Ujerumani) anabarikiwa kuwa na cheo cha mfalme katika Prussia
- 1871 - Mfalme Wilhelm I wa Prussia anatangazwa kuwa Kaisari wa Ujerumani mjini Versailles (Ufaransa)
Waliozaliwa
- 1835 - César Cui, mtunzi wa opera kutoka Urusi
- 1849 - Edmund Barton, Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia
- 1867 - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 1955 - Kevin Costner, mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani
- 1986 - Ropa Garise, mwanamitindo kutoka Zimbabwe
Waliofariki
- 1271 - Mtakatifu Margareta wa Hungaria, O.P., bikira
- 1471 - Go-Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1428-1464)
- 1862 - John Tyler, Rais wa Marekani (1841-1845)
- 1936 - Rudyard Kipling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1907
- 1982 - Huang Xianfan, mwanahistoria kutoka China
- 1995 - Adolf Butenandt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Suksesi, Paulo na Lusio, Koskoni, Zenoni na Melanipo, Volusiano wa Tours, Priska wa Roma, Deikolo abati, Margareta wa Hungaria n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads