Lipidi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lipidi
Remove ads

Lipidi (kwa Kiingereza lipid, kutoka Kigiriki λίπος, lípos, „mafuta“) ni kundi la molekuli ogania zinazojenga dutu kama mafuta, nta na sehemu ya vitamini.

Thumb
Miundo ya baadhi ya lipids ya kawaida.Hapo juu kuna Kolesteroli na asidi oleic.(2):328 muundo wa kati ni tiglyceride inayoundwa na minyororo ya oleoyl,tearoyl, na palmitoyl iliyoamatanishwa kwenye mgongo wagliseridi.Chini ni choline ya kawaida ya phospholipid phosphatidy.

Ni muhimu katika kemia ya viumbehai kwa sababu zinahifadhi nishati ndani ya seli za mwili, zinapitisha habari kati ya seli na kujenga utando wa seli.[1] Kwa hiyo ni sehemu muhimu ya chakula.

Zinapatikana kwa kula algae, mbegu wa mimea, nyama, jibini, siagi na samaki.

Wakati mwingine neno "lipidi" hutumiwa sasa na mafuta lakini hali halisi mafuta ni kundi la lipidi tu.

Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads