Lisala

Lisala ni eneo, mji mkuu wa mkoa wa Mongala kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lisala ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Mongala, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 77,548 (2008).

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads