Liu Xiaobo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Liu Xiaobo (28 Desemba 1955 - 13 Julai 2017) alikuwa mwandishi, mwanaharakati wa haki za binadamu, mwanafalsafa wa China aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Amani.


Alitoa wito wa mageuzi ya kisiasa na alihusika katika kampeni za kumaliza utawala wa chama cha kikomunisti nchini China.
Wakati mwingine hujulikana kama "Nelson Mandela wa China". Alifungwa kifungo cha kisiasa huko Jinzhou, Liaoning. Mnamo 26 Juni 2017, alipewa matibabu baada ya kugunduliwa ana saratani ya ini na alikufa tarehe 13 Julai 2017.[1]
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads