Loehr Center
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Loehr Center ni nyumba ya maduka katikati za mji Koblenz huko Rhine-Palatino, Ujerumani.



Loehr Center ni nyumba ya maduka la kwanza huko Koblenz, imefunguliwa mwaka 1984. Ina magorofa tatu na maduka, maghawa na ofisini ya huduma. Pia mbele za nyumba kuu kuna nyumba ya pili na ofisini na madaktari.
Loehr Center ipo Loehrplatz, karibu za Loehr Center kuna Kituo cha reli Koblenz Stadtmitte na kanisa la katholiki.
Remove ads
Viungo vya nje
- Ukurasa wa Loehr Center (Kijerumani)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads