Logroño

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Logroño ni mji wa Hispania, mji mkuu wa La Rioja.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 151,136 [1] na kuufanya wa arubaini na mbili nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads