Louis de Broglie

From Wikipedia, the free encyclopedia

Louis de Broglie
Remove ads

Louis-Victor Broglie (15 Agosti 1892 19 Machi 1987) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza sifa za elektroni na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1929 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis de Broglie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Louis-Victor Broglie (1929)
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads