Louis Farrakhan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Louis Farrakhan
Remove ads

Louis Farrakhan (jina la kuzaliwa Louis Eugene Walcott, 11 Mei 1933)[1][2] ni kiongozi wa imani ya Watu Weusi wa Marekani anayepinga Wazungu ambaye anaongoza Taifa la Uislamu (NOI). Kabla ya kujiunga na NOI, alikuwa mwimbaji wa calypso ambaye alitumia jina la kisanii Calypso Gene.[3][4]

Thumb
Louis Farrakhan

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads