Lugha ya Adamu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lugha ya Adamu ni lugha iliyotumika katika mawasiliano ya Adamu, mtu wa kwanza kadiri ya Biblia na Mapokeo ya Mitume na ambayo ilizaa lugha zote za binadamu hadi leo.

Oni maalumu

Anna Katharina Emmerick katika ufunuo wake alijulishwa kwamba hasa lugha tatu [ya Kihindi-Kiirani] za Baktria, Zendia, India ni vizazi vya kwanza kabisa vya lugha [ya Kihindi-Kijerumani cha Kale] ya Adamu, bila shaka kulingana na usafi kama kipimo cha kubadilika kidogo kutoka kwa lugha ya Adamu yenyewe[1][2]:

Lugha ya kwanza [ya Kihindi-Kijerumani cha Kale], lugha mama, iliyozungumzwa na Adamu, Shemu, na Nuhu, ilikuwa tofauti, na sasa inapatikana tu katika lahaja za pekee. Matawi yake safi ya kwanza [ya Kihindi-Kiirani] ni Zend, lugha takatifu ya India, na lugha ya Wabaktria. Katika lugha hizo, maneno yanaweza kupatikana yakiwa sawa kabisa na Kijerumani cha chini cha eneo langu la asili. Kitabu ninachokiona katika Ktesiphon ya kisasa, kando ya Tigris, kimeandikwa kwa lugha hiyo.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads