Lugha ya kimataifa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lugha ya kimataifa ni lugha yoyote iliyoenea katika nchi mbalimbali na inayotumiwa na mataifa mengi kukidhi haja ya mawasiliano. Zamani kulikuwa na Kigiriki, halafu Kilatini. Siku hizi ni hasa Kiingereza.

Marejeo

  • Leonhardt, Jürgen (2013). Latin: Story of a World Language. Harvard University Press. doi:10.4159/harvard.9780674726277. ISBN 978-0-674-72627-7.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya kimataifa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads