Luka Jelas Siyame

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Luka Jelas Siyame (amezaliwa tar. 13 Mei 1951) ni mbunge wa jimbo la Mbozi Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads