Lusiani, Masimiani na Juliani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lusiani, Masimiani na Juliani (walifariki 290 hivi) walikuwa wamisionari kutoka Roma waliotumwa katikati ya karne ya 3 kuinjilisha eneo la Beauvais, katika Galia (leo Ufaransa).
Huko walifia dini ya Ukristo wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Martyrologium Romanum inataja tarehe 8 Januari kwa sikukuu yao.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads