Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts
Remove ads

Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts (Massachusetts Institute of Technology MIT) ni chuo maarufu nchini Marekani kilichopo kwenye mji wa Cambridge karibu na Boston katika mashariki-kaskazini ya nchi. MIT ina vyuo sita ndani yake na idara 32.[1] Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia.

Thumb
Massachusetts Institute of Technology at night.

Wanavyuo wa MIT wamepokea tuzo nyingi pamoja na tuzo za Nobel 63.[2][3].

Remove ads

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Vyanzo

Ramani

Remove ads

Marejeo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads