Boston, Massachusetts

mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Boston, Massachusetts
Remove ads

Boston ndiyo mji mkuu katika jimbo la Massachusetts. Mji una wakazi wapatao 7,514,759 na hiyo ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.

Thumb
Mji wa Boston, Massachusetts
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Ramani ya Boston

Mji uko futi 141 juu ya usawa wa bahari.

Remove ads

Historia

Mji ulianzishwa tarehe 17 Septemba katika mwaka wa 1630.

Boston iliundwa na walowezi Waprotestanti kutoka Uingereza waliotafuta uhuru wa kidini. Walichagua rasi ndogo kwenye pwani ya hori ya Massachusetts.

Mji ukakua kuwa mji mkubwa katika makoloni ya Uingereza katika Amerika ya Kaskazini.

Katika karne ya 18 Boston ulikuwa kitovu cha upinzani wa walowezi dhidi ya kodi mpya za Uingereza na vita ya uhuru wa Marekani ilianza hapa mjini na katika vijiji karibu nao.

Remove ads

Tazama pia

  • Chuo Kikuu cha Boston

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boston, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads