Mabingobingo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mabingobingo ni spishi ya manyasi inayomea ndefu sana (m 2-4,5, pengine hadi m 7,5). Hupandwa sana katika Afrika ya Mashariki ili kulisha wanyama wafugwao.
Remove ads
Viungo vya nje
Picha
- Masuke
- Kenya
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads