Mafunzo F.C.

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mafunzo Football Club ni klabu ya soka ya Kitanzania/Zanzibar.

Timu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu ya Zanzibar.

Walishindana katika Ligi ya Mabingwa wa CAF kwa mara ya kwanza mwaka 2010.[1]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads