Mahsein Awadhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mahsein Awadhi Said ni mtunzi wa nyimbo, mwongozaji wa filamu, na mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka Tanzania. Amepata umaarufu kwa jina la Dk. Cheni kupitia maigizo mbalimbali chini ya Kaole Sanaa Group. Mbali na sanaa, Mahsein pia ni mshereheshaji katika sherehe mbalimbali. Kuna wakati alisimama kabisa kuigiza na kuendelea kufanya kazi ya u-MC.[1]
Remove ads
Baadhi ya filamu alizocheza
Hii ni sehemu ya filamu alizocheza.[2]
- Hukumu Yangu
- Majanga
- Flashback
- Docta wa Kifimbo
- Dhuluma
- Jesica
- Umetuumiza
- My Life
- Nipende Monalisa
- Pooja
- My Flower
- Kiapo
- Mafisadi wa Mapenzi
- Toughlife
- 14 Days
- My Dreams
- Danger Zone
- My Baby
- Orphan
- Taste of Love
- The Stolen Will
- The Cold Wind
- A Point of No Return
- Penina
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads