A Point of No Return
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"A Point of No Return" ni jina la filamu iliyotoka 2008 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Steven Kanumba , Wema Sepetu , Mahsein Awadh , Asha Jumbe , Leyla Ismael , Charles Magari , Anne Constantine (Waridi). Filamu imeongozwa na Mtitu Game na kutayarishwa na Mtitu akiwa na Steven Kanumba. Huku hadithi ikiwa utunzi wa Mtitu Game. Filamu inaelezea usaliti na mateso yanatokea ndani ya ndoa. Hii ni filamu ya kwanza kuchezwa na Miss Tanzania wa zamani Bi. Wema Sepetu. [1]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads