Maida Hamad Abdallah

mbunge wa kutoka Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Maida Hamad Abdallah (amezaliwa 17 Januari 1975) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu 2005. Alirudishwa mwaka 2010, 2015 na 2020[1] kama mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).[2]

Tanbihi

Loading content...

Chanzo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads