Makgatho Mandela
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Makgatho Lewanika Mandela (26 Juni 1950 - 6 Januari 2005) alikuwa mtoto wa Nelson Mandela kutoka kwa mke wake wa kwanza Evelyn Mase. Yeye ndiye baba wa Ndaba Mandela.
Alifariki kwa Ukimwi mnamo 6 Januari 2005 huko Johannesburg.
Familia
Alikuwa ameoa mara mbili. Mkewe wa kwanza alikuwa Rose Rayne Perry (baadaye aliitwa Nolusapho). Mkewe wa pili alikuwa Zondi. Alikuwa na watoto wa kiume wanne. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads