Mames na Diskus

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mames na Diskus ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 17 Agosti.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads