Momoju
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Momoju ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa la kisiwa cha Mayotte. Iko kwenye kisiwa kikuu cha Maore. Kuna takribani wakazi 45,000.

Utawala
Mji una vijiji sita pamoja na kitovu cha mji mwenyewe, ndivyo Kaweni (hapa kuna viwanda), Mtsapere, Pasamainti, Vahibe, Tsoundzou I na Tsoundzou II.
Eneo lake hutawaliwa katika wilaya tatu za Momoju I, Momoju II na Momoju III.
Wakazi
1991 | 1997 | 2002 | |||
---|---|---|---|---|---|
20 307 | 32 733 | 45 485 | |||
Namba kamili zimepatikana tangu 1991 |
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads