Kaweni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaweni ni kati ya vitongoji vya mji wa Mamoudzou kwenye kisiwa cha Maore.

Ina wakazi 10,000. Iko km 2 kutoka kitovu cha mji. Kuna eneo la viwanda.
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads