Mandy
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mandy ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Mia Kirshner.
Yeye ni gaidi na mtaalamu wa kuua, pia anafahamika kuwa gaidi pekee anayeishi muda mrefu kuliko magaidi wote wa mfululizo huu. Mwisho mwa Msimu wa 4 (ndiyo mara yake ya mwisho kuonekana).
Remove ads
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads