Mia Kirshner
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mia Kirshner (amezaliwa 25 Januari 1975) ni mwigizaji wa Kanada, anayejulikana sana kwa kucheza filamu na vipindi vya mifululizo ya televisheni.
Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Jenny Schecter katika kipindi cha The L Word, mfululizo unaohusu maisha ya kikundi cha wasagaji wanaoishi Magharibi mwa Hollywood.
Pia, alipata kucheza katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Humo alicheza kama gaidi na alitumia jina la Mandy.
Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mia Kirshner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads