Manfred Nowak
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Manfred Nowak (26 Juni 1950,huko Bad Aussee) ni mtaalamu wa haki za binadamu wa Austria, ambaye aliwahi kuwa ripota maalum wa umoja wa mataifa kuhusu mateso mnamo mwaka 2004 hadi 2010. [1] [2] [3]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads