Mani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mani (kwa Kifarsi مانی, Māni; Ctesiphon (leo nchini Iraq)[1], 216 – Gundeshapur (leo nchini Iran), 274 hivi) alikuwa mtu wa karne ya 3[2][3][4][5], aliyeanzisha dini ya Umani, ambayo kwa sasa haipo tena.

Tazama pia
- Wamandayo
- Injili ya Mani
- Arzhang
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads