Singida (mji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Singida ni manisipaa nchini Tanzania ambayo ni makao makuu ya Mkoa wa Singida na ina msimbo wa posta 43100.
Eneo lake ni wilaya ya Singida Mjini.
Katika sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 150,379 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 232,459 [2].
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads