Unyoya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Unyoya ni unywele ambao hutokea katika mwili wa ndege na wanyama wengine.

Manyoya yanawafunika na kuwasaidia kutunza joto la mwili. Manyoya pia huwalinda kutokana na majeraha.
Hatimaye katika spishi nyingi za ndege, manyoya huwasaidia kuruka.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads