Mapenzi ya Mungu (filamu)
Filamu ya Kitanzania ya mwaka 2014 From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mapenzi ya Mungu ni filamu ya Kitanzania iliyotolewa mwaka 2014[1].
Mtayarishaji mkuu ni Elizabeth Michael na imeongozwa na Alex Wasponga. Washiriki wakuu ni Elizabeth Michael, Linah Sanga, and Florah Mtegoha.
Washiriki
- Elizabeth Michael kama Shikana
- Linah Sanga kama Neema
- Florah Mtegoha
- Musa Yusuph kama Kitale
Uandaaji
Mandhari ya filamu hii ni Dar es Salaam Tanzania. Kampuni iliyoandaa ni Uwezo Production.
Kuachiwa
- Trela rasmi ya Mapenzi Ya Mungu iliwekwa katika chaneli ya YouTube ya Proin. Filamu hii iliwekwa sokoni rasmi tarehe 27 Oktoba 2014 kwa mfumo wa DVD na mtandaoni.[2]
- Filamu ya Mapenzi ya Mungu ilioneshwa katika siku ya filamu ya Zanzibar na iliteuliwa katika mashindano ya Zuku Bongo Movies Awards[3]
Tuzo na Uteuzi
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads