Mardin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mardin (Kisyriaki:ܡܶܪܕܺܝܢ; inamaana ya "maboma") ni mji uliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mardin, unajulikana sana kwa ujenzi wake wa staili ya Kiarabu, na maeneo yake ya milima ya mawe inayoitazama Syria kwa upande wa kaskazini.[1] Mji wa Mardin una wakazi mchanganyiko, Waturuki, Wasyria, Waarabu na Wakurdi ambao wote wanawakilisha idadi kubwa ya watu.[2] Pia kuna idadi kiasi ya Waarmenia katika mji huu. Takriban watu 705,098 wanaoishi mjini hapa.
Remove ads
Maelezo
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads