Maria Tebbo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maria Tebbo
Remove ads

"Maria Tebbo " ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1979 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sam Mangwana. Albamu ina nyimbo nne tu, upande A 2 na upande B 2. Albamu ilitolewa katika muundo wa Vinyl (LP). Kazi ya utayarishwaji ilifanywa huko mjini Abidjan, Cote d'Ivoire, chini ya Internation Sam Production. Mtindo uliotumiwa humu kwa nyakati hizo uliitwa "highlife". Wimbo maarufu ni huohuo Maria Tebbo.

Ukweli wa haraka Studio album ya Sam Mangwana, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  • A1 - Maria Tebbo
  • A2 - Lingala
  • B1 - Zimbabwe
  • B2 - Bana Ba Cameroun

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads