Sam Mangwana
Mwanamiziki wa Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sam Mangwana (amezaliwa 21 Februari 1945) ni mwanamuziki kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Sam Mangwana alizaliwa na wahamiaji nchini humo, huku baba akiwa mtu wa Zimbabwe na mama akiwa mtu wa Angola. Sam ni kiongozi wa bendi za Festival des Maquisards na African All Stars.
Awali alikuwa mwanachama wa bendi ya marehemu François Luambo Makiadi TPOK Jazz, na bendi za Tabu Ley Rochereau - African Fiesta, African Fiesta National na Afrisa International.[1]
Remove ads
Uanachama katika bendi
- African Fiesta, 1962
- Festival des Maquisards, 1968
- TPOK Jazz, 1972
- African Fiesta National
- Afrisa International
- African All Stars, 1978
Diskografia
- Akiwa na Festival des Maquisards
|
|
|
- Akiwa na TPOK Jazz
- Lufua Lua Nkadi - Sung imeimbwa na Sam Mangwana, Michel Boyibanda, Josky Kiambukuta na Lola Checain mnamo 1972.
- Luka Mobali Moko -meimbwa na Sam Mangwana, Josky Kiambukuta, Michèl Boyibanda na Lola Chécain, mnamo 1974.
- Wasanii aliowasaidia
- The Rough Guide to Congo Gold (2008, World Music Network)
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads