Marko mkaapweke (Libya)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Marko mkaapweke (Libya) ni kati ya Wakristo wa Libya walioishi vizuri imani yao kwa kutawa.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads