Marvel Studios
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Marvel Studios (ilijulikana kama Marvel films tangu mwaka 1993 hadi 1996) ni kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ambayo ni tawi la The Walt Disney Studios.

Marvel Studios inafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 bilioni (dola bilioni 22.5) huku katika hizo Avengers:Endgame imekusanya $2.8 bilioni(dola bilion 2.8) Duniani kote[1].
Marvel Studios wameweza kutoa filamu Ishirini na tatu tangu mwaka 2008 hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni Iron Man (2008) na filamu ya mwisho ni Spider-Man: Far From Home (2019). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine[2].
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads