Mashewa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mashewa ni kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 10,366 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,938 waishio humo.

Vijiji karibu ya Mashewa ni Kibaoni, Kumba, Kijungu Moto, Mshihwi, Mtoni Bombo, Daluni, Bombo Majimoto, Kulasi, Magoma n.k.

Wazee maarufu wa Mashewa walikuwa Salim Mwarabu (1932-2001), Salim Msambaa, Ahmed Hilal (Mkoloni), Vicent Mussa, Mwalim Sharifu, Adballah Shekalage, Salim Ahmed Kontrol, Mohammed Said, Mohamed Hemed Jokha, Mzee Mwambura na wengineo.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads