Mashindano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mashindano (kutoka kitenzi kushinda; kwa Kiingereza: competition) ni neno la Kiswahili lenye maana ya mapambano au mchuano baina ya sehemu mbili au zaidi katika nyanja mbalimbali, kama vile michezo, elimu, fasihi, upishi, ambapo kila upande unajaribu kufikia lengo fulani au kushinda.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads