Mathias Meinrad Chikawe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mathias Meinrad Malome Chikawe (amezaliwa 30 Mei 1951) ni Mbunge wa jimbo la Nachingwea katika Bunge la Tanzania, awamu ya 2005 hadi 2010[1]. Anatokea katika chama cha CCM. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chikawe alikuwa Waziri wa Sheria. Mwaka wa 1982 alipata shahada ya tatu katika somo la sheria ya kimataifa huko Uholanzi.

Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads