Matumbwitumbwi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Matumbwitumbwi
Remove ads

Matumbwitumbwi (kwa Kiingereza: "mumps") ni ugonjwa unaotokana na virusi ambao unapata binadamu tu.

Thumb
Mtoto mwenye ugonjwa wa matumbwitumbwi.
Thumb
Virusi vya matumbwitumbwi.

Dalili za kawaida zaidi ni homa, maumivu ya kichwa, harufu mbaya na uvimbe katika tezi na mapumbu.

Kuna chanjo dhidi ya surua, matumbwitumbwi na rubela.

Jina la ugonjwa huo kwa Kiswahili limetokana na matumbwitumbwi (au matubwitubwi au machubwichubwi) ambayo ni uji wenye vibonge vidogovidogo vya unga.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matumbwitumbwi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads