Maumivu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maumivu ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na Bob Junior akiwa na mwimbaji wa muziki wa hip hop ROMA. Wimbo unazungumzia mtu anayejitia mwema ilhali si mwema. Wimbo umerekodiwa baada ya ahadi aliyoifanya ROMA mapema 2014 ya kwamba iwapo Brazili watafungwa katika michuano ya Kombe la Dunia, basi atatoka Tongwe Records na kuhamia Sharobaro Records kwa Bob Junior. Ahadi ameitimiza.
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maumivu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads